HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 26, 2023

FURAHIA ALHAMISI YAKO UKIWA NA MERIDIANBET

 


BAADA ya juzi na jana kushuhudia mitanange ya Ligi ya Mabingwa, leo hii michuano ya Europa Conference itapigwa kama kawaida kuanzia majira ya saa 1:45. Unasubiri nini kuingia na kusaka maokoto ya kutosha?.

Mechi ya kupiga mkwanja ni hii hapa ya AZ-Alkmaar ya Uholanzi dhidi ya Aston Villa ya Uingereza. Nafasi kubwa ya kuondoka na alama tatu amepewa mgeni akiwa na ODDS ya 2.06 kwa 3.38. Wote wana alama tatu. Je nani leo hii kuongoza kundi hilo?. Suka mkeka wako hapa.

Lille ya Ufaransa itakipiga dhidi ya SK Slovan Brastislava kwao huku vijana wa Paolo Fonseca wakipendelea kushinda mchezo huo kwa ODDS ya 1.34 kwa 7.84. Nani kuondoka na pointi tatu hizo leo?

Kule Uturuki mwenyeji Fenerbahce Instanbul dhidi ya PFC Ludogorets 1945 . Tofauti ya pointi kati yao ni 3 huku mwenyeji akiwa ndiye kinara wa kundi hilo hadi sasa. Je mgeni anaweza shinda mechi ya leo? Beti sasa.

Huku ukiendelea kubashiri mechi zako za Konferensi kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni pale Meridianbet kama vile Poker, Aviator, Roulette, Keno na mingine kibao kwa dau lako la shilingi 200 tuu. Muda ndio huu wa kukusanya maokoto.

KAA Gent yey atakuwa mwenyeji wa Breidablik Kopavogur majira ya saa 1:45 huku ushindi wa mwenyeji amepewa mwenyeji kwa ODDS ya 1.11 kwa 15.68. Mgeni hajashinda mchezo wowote hadi sasa. Bashiri sasa.

Wakati saa 4:00 Dinamo Zagreb atakiwasha dhidi ya FC Viktoria Plizen. Mara ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda lakini kwenye kundi mgeni ndiye anayeongoza kundi hadi sasa. Nani ni nani leo?. ODDS KUBWA zipo hapa.

AFC Fiorentina atakipiga dhidi ya FK Cukaricki Belgrade mwenye ODDS ya 29.4 huku mwenyeji wake akiwa na ODDS ya 1.10. Nani kuondoka na ushindi hii leo pale Meridianbet. Ingia na ucheze sasa.

HSK Zrinjski Mostar atakiwasha dhidi ya Legia Warszawa huku wote wakiwa wamefungana pointi wakiwa nazo 3. Leo kila timu inahitaji ushindi iongoze kundi. Nani kuondoka na ubabe huku mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.84 kwa 2.30. Bashiri muda huu.

Eintracht Frankfurt akimenyana dhidi ya HJK Helsinki majira ya saa 4:00 huku Frankfurt akiwa na alama 3 na mgeni wake akiwa na pointi 1 pekee. Nafasi kubwa ya kushinda amepewa Mjerumani akiwa na ODDS ya 1.16 kwa 13.72. Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine yenye ODDS KUBWA pale Meridianbet ni hii inayowakutanisha Bodoe/Glimt dhidi ya Besiktas Instanbul. Wote wana pointi moja moja kwenye msimamo. Mwenyeji ana ODDS ya 2.09 kwa 3.04. Beti sasa mechi hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad