HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 13, 2023

SANLAM INSURANCE YASHIRIKI RUANGWA MARATHON

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mkurugenzi Mkuu Wa Biashara wa Sanlam Life Insurance Kyenekiki Kyando (kushoto) baada ya kumaliza kushiriki Mbio za Ruangwa Marathon kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba zilizofanyika Ruangwa, Septemba 9, 2023. Ambapo  Sanlam Insurance ni mmoja wapo wa wadhamini wakuu wa Ruangwa Marathon.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akisalimina na Mkurugenzi Mkuu Wa Biashara wa Sanlam Life Insurance Kyenekiki Kyando (kushoto) baada ya kumaliza kushiriki mbio za Ruangwa Marathon kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba zilizofanyika Ruangwa, Septemba 9, 2023. Ambapo  Sanlam Insurance ni mmoja wapo wa wadhamini wakuu wa Ruangwa Marathon.

Mkurugenzi Mkuu Wa Biashara Sanlam Life Insurance,Kyenekiki Kyando kulia akiwa na watumishi wa Sanlam Insurance  katika picha ya pamoja  baada ya kumaliza kushiriki mbio za Ruangwa Marathon kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba zilizofanyika Ruangwa, Septemba 9, 2023. Ambapo  Sanlam Insurance ni mmoja wapo wa wadhamini wakuu wa Ruangwa Marathon.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad