HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 12, 2023

KONGAMANO LA KIUCHUMI LA BENKI YA STANBIC DAR LAIBUA MAZINGIRA YA KIUCHUMI, VIPAUMBELE VYA SERIKALI

Picha ya pamoja ya wafanyakazi na wadau wa Benki ya Stanbic waliohudhuria kongamano la kiuchumi lililoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa wa Wizara ya Fedha na Kituo cha Uwekezaji Tanzania, pia walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo ambalo pia lilihudhuriwa na wateja wa benki hiyo.
Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Erick Mushi akizungumza na wateja na wadau katika kongamano la kiuchumi lililoratibiwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Hyatt Regency hivi karibuni. Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa wa Wizara ya Fedha na Kituo cha Uwekezaji Tanzania, nao walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo.
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Kiuchumi wa Kanda ya Afrika cha Standard Bank Group kwa Kanda ya Afrika, Jibran Qureishi akichangia ufahamu kuhusu hali ya uchumi wa dunia na athari zake kwa Afrika hususani ukanda wa Afrika Mashariki katika kongamano la kiuchumi lililoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency hivi karibuni. . Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa wa Wizara ya Fedha na Kituo cha Uwekezaji Tanzania nao walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo.

Meneja wa uhamasishaji uwekezaji wa kituo cha uwekezaji Tanzania(Kigeni), Daudi Riganda, akizungumzia mambo yanayoendesha uchumi wa Tanzania na matarajio ya matazamio yanayowasubiri wawekezaji, wakati wa mjadala wa jukwaa la uchumi lililoandaliwa na stanbic bank Tanzania kwenye hotel ya Hyatt Regency. Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa kutoka Wizara ya Fedha pia walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo ambalo pia lilihudhuriwa na wateja wa benki hiyo.
Mkuu wa Masoko ya Kimataifa wa Benki ya Stanbic Tanzania, Erick Mushi, akiongoza mjadala kuhusu uchumi unaostawi Tanzania, vipaumbele vya serikali, na fursa za uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani na nje. Pembeni yake ni Kamishna wa Usimamizi wa Madeni katika Wizara ya Fedha, Japhet Justine. Wanajopo wengine hawapo pichani walikuwa; Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Uchumi wa Kanda ya Afrika cha Standard Bank Group, Jibran Qureishi, na Meneja Uhamasishaji Uwekezaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) (Kigeni), Daudi Riganda. Majadiliano hayo yalikuwa ni sehemu ya kongamano la kiuchumi lililoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Kiuchumi wa Kanda ya Afrika wa Benki ya Standard Group, Jibran Qureishi (kulia), akizungumza wakati wa majadiliano yaliyounda sehemu ya jukwaa la uchumi lililofanyika na Benki ya Stanbic Tanzania jijini Dar Es Salaam hivi karibuni. Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa wa Wizara ya Fedha na Kituo cha Uwekezaji Tanzania, nao walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo. Pia katika picha, kushoto kwenda kulia ni; Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic Tanzania, Erick Mushi, Kamishna wa Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha, Japhet Justine na Meneja Uhamasishaji wa Uwekezaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) (Kigeni), Daudi Riganda.
Kamishna wa Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha, Japhet Justine, akizungumza katika kikao cha majadiliano kilichokuwa sehemu ya jukwaa la uchumi lililoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania jijini Dar Es Salaam hivi karibuni. Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, pia walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo ambalo pia lilihudhuriwa na wateja wa benki hiyo.
Wadau wakisikiliza taarifa za kiuchumi katika kongamano la kiuchumi lililoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Jukwaa hilo liliibua mazingira ya kiuchumi, vipaumbele vya Serikali vinavyoendesha uchumi, na fursa zilizopo kwa wawekezaji wa ndani na nje. Maafisa wa Wizara ya Fedha na Kituo cha Uwekezaji Tanzania, pia walihudhuria na kuzungumza katika kongamano hilo ambalo pia lilihudhuriwa na wateja wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad