HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 27, 2023

PIGA MSHINDO MKUBWA NA MECHI ZA CARABAO CUP

 


BAADA ya Wikendi hii mechi kuchezwa mbalimbali, pia leo na kesho mechi za Carabao Cup raundi ya 3 Uingereza zinaendelea na zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukutajirisha vilivyo kwa dau lako dogo tuu. Ingia www.meridianbet.co.tz uanze kutimiza ndoto zako za kuwa Milionea.

Mechi hizi za Carabao zitaendelea hapo kesho kwa michezo zaidi ya 7 ambapo Newcastle United atakuwa nyumbani dhidi ya Manchester City ambaye ni bingwa mtetezi wa Epl. Timu hizi zimekutana kwenye ligi msimu huu huku vijana wa Pep Guardiola wakiwa wanapendelewa kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet wakiwa na ODDS ya 2.33 kwa 2.69. City haijapoteza mechi yoyote mpaka sasa huku Howe akiwa ameshapoteza mechi 3 mpaka sasa. Beti yako unaipeleka wapi?

Chelsea baada ya kupoteza mechi ya ligi iliyopita, atakuwa Stamford Bridge hii leo kukipiga dhidi Brighton ambayo ni ya moto kweli kweli. Msimu uliopita walipokutana The Blues amekufa mechi zote mbili kwenye ligi. Je Pochettino na vijana wake wataweza kutoka kesho mbele ya De Zerbi?

Kule Anfield Jogoo atamenyana dhidi ya Leicester City ambayo kwasasa inshiriki ligi daraja la kwanza baada ya kushuka msimu uliopita na ndio kinara kwenye msimamo wa ligi hiyo. Liverpool ya Jurgen Klopp kuondoka na ushindi mechi hii amepewa ODDS ya 1.44 kwa 5.68. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Brenford ambayo msimu huu bado inajitafauta itamleta nyumbani Arsenal ya Mikel Arteta. Nyuki kwenye mechi zake sita akshinda moja pekee huku The Gunners wameshinda nne. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ubeti sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad