HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 29, 2023

CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, leo Ijumaa, Septemba 29, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Bi Chen Mingjian, aliyeambatana na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, yaliyolenga kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji kati ya pande hizo mbili, pamoja na kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidugu baina ya nchi za Tanzania na China chini ya uongozi wa Vyama vya CCM na CPC, mtawalia.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad