MKUU wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ametembelea banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (Nanenae) yanayoendelea katika uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya. Mhe. Mtaka ameitaka BRELA kuongeza jitihada katika kuhamasisha wadau kurasimisha biashara zao ili kukuza uchumi wa nchi.
RC Mtaka akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la BRELA kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane yanayoendelea viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Mhe. Mtaka akipata maelezo kuhusu wageni wanaotembelea banda la BRELA kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane Nane yanayoendelea viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment