JTI Leaf Services Yakabidhi madawati Kwa shule za Uyui, Kuboresha hali ya elimu - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 21, 2023

JTI Leaf Services Yakabidhi madawati Kwa shule za Uyui, Kuboresha hali ya elimu

 Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Mh. Zakaria Mwansasu  (kushoto) akisalimiana na mwakilishi wa JTI Leaf Services, Oscar Lwoga wakati kampuni hiyo ikikabidhi madawati Kwa shule za Uyui Kwa lengo la kuboresha hali ya elimu huku wageni wengine wakishuhudia.Hafla hiyo ilifanyika katika eneo la Ndono, Uyui hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad