Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirema Doriye akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Nicolaus shombe akipata maelezo kutoka Mkuu wa kitengo cha uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi wakati alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirema Doriye akisaini kitabu cha wageni katika banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakati alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment