RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akizungumza na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,(kulia kwa Rais) na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk,akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu
Hassan.katika uzinduzi wa mashindano ya dunia ya olimpiki maalum
yanayofanyika Berlin Ujerumani.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi
Zanzibar,alipowasili katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu
Hassan.katika uzinduzi wa mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum
yanayofanyika Berlin Ujerumani.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk,
alipowasili katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.katika
Uzinduzi wa Mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum yanayofanyika Berlin
Ujerumani.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment