MSHINDI WA WIKI APIGA MIL 26 TZS - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 7, 2023

MSHINDI WA WIKI APIGA MIL 26 TZS

 

DUNIA hii kuna watu wana bahati nyie, unaambiwa ukiomba riziki omba na bahati ya kuipata usichoke. Meridianbet kwa furaha kubwa wanamtambulisha kwenu mwanafamilia mpya aliyechota mihela kwa kubeti.

Kubeti soka kupitia moja ya duka la ubashiri la meridianbet huko mtaani, hatimaye jamvi la mwamba limetiki na hivi sasa nadhani atakuwa anamwagilia moyo wake kwanza kabla hajaanza kuseti mipango yake ya maana.

Habari kubwa mjini ni huyu jamaa ambaye alikataa jina lake litajwe, amejishindia Tsh milioni 26,691,913/= kwa dau lake dogo sana la Tsh 500/=

Njia Hizi Zilimpa Ushindi
Mfalme huyu wa kubeti soka alitengeneza jamvi lake la timu 10 tu, ambapo kila moja alihakikisha anachagua odds kubwa na kwakuwa Meridianbet kuna machaguo 1000+ alikuwa na uwanda mpana wa kuchagua.

Baada ya kutandika jamvi lake lenye odds kubwa, kisha akaweka dau dogo tu la Tsh 500/= na kusubiri timu moja badala ya nyingine kuanza kutiki, na hatimaye zote 10 zikatika na kujihakikishia mamilioni ya hela Tsh 26,691,913/=

NB: Ligi nyingi zimeisha chimbo pekee la kusaka mkwanja ni kasino ya mtandaoni, jisajili meridianbet upate mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jiunge sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad