EXPANSE STUDIO KUSIMAMIA ONYESHO LA SIGMA AMERICANS - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 13, 2023

EXPANSE STUDIO KUSIMAMIA ONYESHO LA SIGMA AMERICANS

 


EXPANSE Studio imepewa jukumu la kusimamia onyesho la michezo ya kubahatisha Sigma Americans ambalo linatarajia kufanyika Juni 14 hadi 18 huko Brazil katika mji wa Sao Paolo, huku onyesho hilo litawakutanisha viongozi mbalimbali wanajihusisha na michezo ya kubahatisha.

Kutokana na Exapanse Studio kuwa inafanya vizuri katika michezo ya kasino ya mtandaoni kwa miaka mingi, sasa jukumu hilo imepewa wao ili kuhaikisha kuwa watu mbalimbali wanajaribu michezo mbalimbali ya kubahatisha na inayovutia zaidi mpaka ile ya mezani.

Meridianbet kwa kuonyesha kuwa wao wana michezo kibao ya kasino ya mtandaoni, onyesho hilo litakuwa ni chanzo kwa wao kuthibitisha kuwa wanawafikia wauzaji na wanaotoa huduma ya michezo ya kubahatisha ya Amerika ya Kusini.

Fursa mbalimbali zitakuwepo
Je wajua wewe kama mchezaji wa kasino ya mtandaoni kuna fursa mbalimbali katika onyesho hilo huko Brazili? Kwanza Sigma Americans inatoa fursa kwa wanamichezo wote kuchangamkia soko la michezo ya kubahatisha huko Brazil ambalo linatarajiwa kukua hadi kufikia dola bilioni 2.6.

Pili, Exapanse inatajia kuchangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa michezo hiyo ya kubahatisha kama Poker, Aviator, Roulette na mingine mingi kutokana na nchi nyingi kuhalalisha michezo hii moja kwa moja hivyo hii inakuwa kama ni fursa na hii inachangiwa na kufanya matangazo ya michezo hii.

Unaweza kucheza michezo hii ukiwa na simu yako ya mkononi kwani teknolojia imerahisisha mambo na kuwa mepesi kwa wanamichezo kote ulimwenguni.

Ndani ya Meridianbet michezo ya kasino ipo mingi kama vile Aviator, Poker, Roulette, Book of Egypt, Piggy Party na mingine kibao ambayo inaweza kubadilisha ndoto zako.

NB: Kubwa kuliko ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad