HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 18, 2023

UNAJIULIZA LINI UTAPIGA MKWANJA WA 20,000,000 NA KASINO YA MTANDAONI?

 

KAMA unajiuliza wapi utapata mkwanja mrefu wa 20,000,000 na michezo ya kasino ya mtandaoni? Basi hapa Meridianbet wanakuletea mchezo wa Piggy Party ambao mteja wao hii leo amepata milioni ishirini kupitia mchezo huo unaopatikana Meridianbet.

"Piggy Party" ni mchezo maarufu unaopatikana kwenye michezo ya sloti ya Meridianbet na mchezo huu una muundo mzuri na kuvutia, na unawapa wachezaji fursa ya kujishindia zawadi kubwa. Leo mteja wao aliyeshinda Jackpot ya Tsh 20,000,000/= anatokea Temeke Mtoni kwa Aziz Ally na ndiye shahidi wa kuwa pesa hiyo inatoka kwa kucheza mchezo huo.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Kama ulikuwa hujui? Jackpot ni zawadi nono inayotolewa kwa mchezaji ambaye anaweza kupata alama zinazohitajika katika mchezo wa sloti. Piggy party ni moja ya michezo ya kasino mtandaoni ambayo inawapatia wachezaji fursa ya kujishindia kiasi kikubwa cha pesa. Kushinda Milioni ishirini kwenye mchezo wa sloti na Meridianbet ni rahisi sana unachotakiwa kufanya ni kucheza sana.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Meridianbet inakuhakikishia kuwa wachezaji wao wanapata uzoefu wa kipekee na fursa ya kujishindia zawadi kubwa. Vile vile kasino ya mtandaoni kutoka meridianbet ina michezo mingi inayowapa burudani na ushindi wateja wake mfano wa michezo hio ni kama michezo ya Poker, Aviator, na Blackjack.

Meridianbet inapenda kumpongeza mteja wao kwa ushindi wake mkubwa na wanamshukuru kwa kuwa sehemu ya familia ya Meridianbet. Jiunge na Meridianbet leo na uweze kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia Jackpot ya Piggy Party!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad