HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 31, 2023

Meridianbet Yaangukia kwa Mama Ntilie wa Kariakoo, Manzese

 


*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/TndpXA

MAMA Ntilie wa Kariakoo na Manzese wafikiwa na Meridianbet baada ya kampuni hiyo mashuguri nchini Tanzania ya ubashiri kuona kuwa kina mama hao wanafanya shughuli za ujasiriamali kama vile kupika chakula na kuuza juice wanahitaji Aprons kwa matumizi yao kwenye shughuli hizo.

Aprons hizo zimetolewa hii leo na timu nzima ya Meridianbet ikiwa na lengo la kuwasaidia kina mama hao waweze kufanya shughuli zao za uandaaji wa chakula katika hali ya usafi na usalama. Vilevile itawawezesha kuvutia wateja wengi ambapo wakiona kuwa chakula kinaandaliwa katika hali ya usafi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wananchi wote wenye uhitaji.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad