WAZIRI DKT. GWAJIMA KUITEMBELEA TIMU YA MASALA PRINCESS - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 2, 2022

WAZIRI DKT. GWAJIMA KUITEMBELEA TIMU YA MASALA PRINCESS

  

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza kuhusu namna atakavyoishika mkono timu ya mpira wa miguu ya Masala Princess pamoja na kuitembelea timu hiyo wakati wa kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Programu za Vijana katika shirika la Childbirth Survival International(CSI) Ester Mpanda akizungumza kuhusu namna wanavyopambana kuinua watoto wa kike kupitia program ya shirika hilo wakati wa kutambulisha ya timu ya mpira wa miguu ya Masala Princess kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akisoma baadhi ya mabango wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Masala Princess yaliyokuwa yanaonesha namna wanavyotaka kuheshimiwa wakati wa kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima akiburudika na timu ya wanawake ya Masala Princess iliyochini ya shirika la Childbirth Survival International(CSI) wakati wa wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi akimkumbatia mmoja wa wachezaji wakati wanaomba wimbo wa kupinga ukatili pamoja na maumbile yao wakati wa wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Masala Princess wakiwa kwenye kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi, Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Gemma Akilimali wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Masala Princess wakati wa Kongamano la Wanawake na uongozi ikiwa na kauli mbiu isemeyo Wekeza Rasilimali kuongeza ushiriki wa wanawake katika Uongozi ili kutokomeza Ukatili wa Kijinsia wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na kufanyika leo jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad