MKUU WA MKOA WA MARA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA UJENZI WILAYANI BUNDA, ASISITIZA UZINGATIAJI WA UBORA WA MAJENGO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 2, 2022

MKUU WA MKOA WA MARA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA UJENZI WILAYANI BUNDA, ASISITIZA UZINGATIAJI WA UBORA WA MAJENGO

 


Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee(kushoto) akikagua ujenzi wa Vyumba 13 vya Madarasa. Kati ya vyumba hivyo vyumba 08 viliombwa kupelekwa Mtaa wa Kunanga uliopo umbali wa KM 12 kutoka shule ya Sekondari GUTA. Maombi hayo ya kuhamasha vyumba 08 yalilenga kuwapunguzia umbali wanafunzi wanaotoka zaidi ya umbali wa KM 12 kila siku kuja GUTA Sekondari.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee(wa pili toka kushoto) akikagua . Aidha, RC. Mzee ameshangazwa kuona baadhi ya majengo ujenzi ukiwa umesimama ambapo amemtaka fundi kuhakikisha majengo yote kazi zinaendelea ili kukamilisha kazi ndani ya muda.
Muonekano wa jengo la Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bunda
Baadhi ya madarasa yakiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi kama yanavyoonekana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad