Waziri wa Uwekezaji ,Viwanda na Biashara ,Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji leo tarehe 8 Oktoba,2022 ametembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) alipotembelea mabanda mbalimbali kabla ya kufunga Maonesho ya Tano ya Teknlojia ya Madini katika viwanja vya uwekezaji EPZA Bombambili Mkoani Geita ambapo kupitia Maonesho hayo Mfuko uliweza kutoa elimu ya Hifadhi ya Jamii, huduma ikiwemo kusajili wanachama wapya kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi wakiwemo wachimbaji wadogo wa madini.
Saturday, October 8, 2022

Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji atembelea banda la NSSF katika Maonesho ya Madini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment