I&M na Wiki ya Huduma kwa Wateja - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 12, 2022

I&M na Wiki ya Huduma kwa Wateja


Mkuu wa kitengo cha wateja wa rejareja wa Benki ya I&M Tanzania, Lilian Mtali (wa pili kulia) akishirikiana na wateja kukata keki kwenye hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Maktaba ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wiki ya Huduma kwa Wateja husherehekewa duninai kote kwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kwa lengo la kutambua na kuenzi mchango wa wateja na watoa huduma kwa maendeleo ya biashara na taasisi mbalimbali.
Wakati wa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja, baadhi ya wafanyakazi wa tawi la Maktaba la Benki ya I&M walisherehekea kwa kukata keki na kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja wa tawi hilo. Wiki ya Huduma kwa Wateja husherehekewa duninai kote kwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kwa lengo la kutambua na kuenzi mchango wa wateja na watoa huduma kwa maendeleo ya biashara na taasisi mbalimbali.
Wafanyakazi wa Benki ya I&M tawi la Nyerere lililoko Quality Plaza wakiwa katika picha ya pamoja wakitoa elimu kwa wateja kuhusu faida na matumizi ya kadi za I&M VISA, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Wiki ya Huduma kwa Wateja hivi karibuni. Wiki ya Huduma kwa Wateja husherehekewa duninai kote kwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kwa lengo la kutambua na kuenzi mchango wa wateja na watoa huduma kwa maendeleo ya biashara na taasisi mbalimbali.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya I&M tawi Kuu (Main Branch), Maktaba, Arusha wakiwa katika picha za pamoja katika sherehe za wiki ya huduma kwa wateja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad