NAIBU WAZIRI ATUPELE ATEMBELEA BANDARI NA KIWANJ CHA NDEGE CHA KILWA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 27, 2022

NAIBU WAZIRI ATUPELE ATEMBELEA BANDARI NA KIWANJ CHA NDEGE CHA KILWA

 

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akimsikiliza Ofisa Ulinzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Theophil Kaiza kuhusu shughuli za utendaji wa bandari ya Kilwa Masoko wakati Naibu Waziri alipotembelea bandari hiyo Wilayani Kilwa Mkoani Lindi.

Muonekano wa Barabara ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa Kilomita 1850 katika Kiwanja cha Ndege cha Kilwa.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akitoa maelekezo kwa Ofisa Ulinzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Theophil Kaiza (wa kwanza kushoto) wakati alipotembelea bandari ya Kilwa Mkoani Lindi. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Zainab Kawawa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad