HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 27, 2022

Kimewaka kweupeeee


Kamera ya Mtaa kwa Mtaa jioni hii imelinasa tukio hili la ajali iliyotokea eneo la Bamaga, Sinza  iliyohusisha Daladala lenye T258DGJ linalofanya safari zake kati ya Makumbusho - Gerezani na Pikipiki yenye namba za usajili MC273BHL. Chanzo cha ajali uendeshaji uliokosa tahadhali kwa madereva wote wawili. Hakuna majeruhi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad