Tanzania ina nafasi nzuri kuwa mzalishaji mkubwa wa mbogamboga barani Afrika - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 25, 2022

Tanzania ina nafasi nzuri kuwa mzalishaji mkubwa wa mbogamboga barani Afrika

 


Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (World Vegetable center), Dkt. Gabriel Rugalema (kulia) akitazama mbegu za mboga mboga zimazotunzwa kwenye benki ya mbegu ya kituo hicho ambacho mpaka sasa kimehifadhi aina tofauti 4,000 za mbegu za mbogamboga na matunda (kushoto) ni Mtafiti wa Mbegu, Bw. Jeremiah Sigalla.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (World Vegetable center), Dkt. Gabriel Rugalema akielezea namna wanavyootesha mbegu kwenye moja ya kitalu nyumba kilichopo makao makuu ya kituo hicho eneo la Tengeru Jijini Arusha jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad