WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA BANDA LA TPDC KATIKA MAONESHO YA SABA SABA DAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 8, 2022

WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA BANDA LA TPDC KATIKA MAONESHO YA SABA SABA DAR

Waziri wa Nishati, January Makamba akiangalia mitambo ya Mradi wa kusindika gesi asilia na kuwa kimiminika (LNG) katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.
Waziri wa Nishati, January Makamba, akiangalia gari linalotumia gesi asilia inayopatikana hapa nchini, ameangalia gari hilo mara baada ya kutembelea katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.
 Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.

Waziri wa Nishati, January Makamba akiangalia moja ya picha za Mradi wa kusindika gesi asilia na kuwa kimiminika (LNG) katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad