HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 2, 2022

RIDHIWANI ATETA NA MAAFISA ARDHI NA KUWAKUMBUSHA KUTIMIZA WAJIBU KATIKA UTENDAJI.

 


"Baada ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa nilipata nafasi kuzungumza na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa. Lengo ni kujadili hali ya Kazi na kukumbushana Wajibu wa kila mmoja katika Utendaji."

Mhe. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

 #KaziInaendelea #ArdhiYetuIringa



 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad