HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 14, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA TAASISI YA BENJAMIN MKAPA

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa, akizungumza katika hafla maalum ya Chakula cha usiku na Harambee ya kuchangia Mfuko wa Taasisi ya Benjamin Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jana usiku 13-7-2022. na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mkapa Dr. Adeline Kimambo.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Chakula cha usiku na Harambee ya kuchangia Mfuko wa Taasisi ya Benjamani Mkapa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa,, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jana usiku 13-7-2022.(Picha na Ikulu)
MJANE wa Marehemu Rais Mstaaf Benjamin Mkapa Mama Anna Mkapa akiwa na familia yake wakimsikiliza Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizutubia katika hafla maalum ya chakula cha usiku na Harambee ya kuchangia Taasisi ya Benjamin Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B”Unguja jana usiku 13-7-2022.(Picha na Ikulu)
Mhe Ridhiwani Kikwete akizungumza na kuchangia Mfuko wa Taasisi ya Benjamin Mkapa, wakati wa Harambee na Chakula cha usiku kuchangia Taasisi hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa. Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Mjane wa Marehemu Benjamin Mkapa Mama Anna Mkapa (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya Chakula cha usiku na Harambee ya Kuchangia Mfuko wa Taasisi ya Benjaman Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jana usiku 13-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa. Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mjane wa Marehemu Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Mama Anna Mkapa baada ya kumalizika kwa hafla ya Chakula cha usiku na Harambee ya Kuchangia Mfuko wa Taasisi ya Benjaman Mkapa, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jana usiku 13-7-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad