MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA AJITAMBULISHA KWA RAIS DK. MWINYI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 14, 2022

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA AJITAMBULISHA KWA RAIS DK. MWINYI

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mgunda wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake Kujitambulisha leo .[Picha na Ikulu] 14/07/2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad