HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 15, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kisiwani Pemba kwa ziara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba 15 Julai 2022 kwa Ziara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Vikundi mbalimbali vya ngoma za Utamaduni alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba 15 Julai 2022 kwa Ziara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad