MKURUGENZI MKUU TCAA ATAMBULISHA KAMATI YA KUMSHAURI MASUALA YA USAFIRI WA ANGA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 23, 2022

MKURUGENZI MKUU TCAA ATAMBULISHA KAMATI YA KUMSHAURI MASUALA YA USAFIRI WA ANGA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari akizungumza wakati wa kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uthibiti Kiusalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Clara Mpili akiwasilisha mada kuhusu kazi zinazotakiwa kufanywa na Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu masuala yote yanayohusu  Usafiri wa Anga hapa nchini wakati wa kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala mahususi ya Usafiri wa Anga Jude Mkai akichangia mada mara baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Mahususi ya Usafiri wa Anga, Mtesigwa Maugo akitoa ushauri kwa TCAA kuweza kusimama na kamati hiyo ili kufikia malengo waliyojiwekea kama Mamlaka baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala ya Mahususi ya Usafiri wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Mahususi ya Usafiri wa Anga, Raphael Bokango akizungumza namna walivyojipanga kuweza kumshauri Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo  mara baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari kutambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala ya Mahususi ya Usafiri wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza S.Johari alipokuwa anatambulisha Kamati ya Kumshauri kwenye masuala Mahususi ya Usafiri wa Anga kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Raphael Bokango (kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati ya hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Kapten Michael Mnyune (kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Mtesingwa Maugo(kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga,  Jude Mkai (kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Juma Fimbo(kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala Mahususi ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga Gaudence Temu(kushoto) mara baada ya kutambulisha Kamati hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga, Juma Fimbo akitoa neno la Shukrani kwa Uongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) chini ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Hamza S.Johari alipotambulisha Kamati ya hiyo kwenye mkutano uliofanyika Makao makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S.Johari akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati wa Kamati ya Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kwenye masuala ya Kiufundi ya Usafiri wa Anga na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo mara baada ya kamati hiyo kutambulishwa rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad