HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 10, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AFUNGUA MSIKITI WA JAMI`UL ISTIQAMA BUKOBA

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera kwa ajili ya kufungua rasmi Msikiti huo tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Tuzo Mwakilishi wa Balozi wa Oman Nchini kwa Niaba ya Balozi kwa kutambua Jitihada zake katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo hapa nchini, wakati wa Hafla ya ufunguzi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Dini pamoja na Wananchi kwenye Hafla ya ufunguzi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Istiqama mara baada ya kufungua  rasmi Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad