Rais Samia afungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 7, 2022

Rais Samia afungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, afungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.
Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad