HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 29, 2022

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma, Juni 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (kulia) na Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad