HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 1, 2022

KOMBE LA DUNIA MIKONONI MWA RAIS SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akinyanyua juu Kombe la FIFA la Dunia (FIFA World Cup) litakalo shindaniwa katika Mashindano ya Mpira wa miguu yatakayo fanyika nchini Qatar katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi yenye mfano wa Kombe dogo la Dunia kutoka Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Balozi wa Kombe la Dunia kutoka (FIFA) mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika picha ya pamoja na wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad