Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
amesimama mbele ya mnara wa kumbukumbu kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais
wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah katika eneo la
Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) Jijini Accra
nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka
Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya
Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah wakati alipotembelea eneo la Makumbusho
(Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) katika Jiji la Accra nchini
Ghana tarehe 25 Mei, 2022
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata
maelezo wakati alipotembelea katika eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah
Memorial Park and Mausoleum) Jijini Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei,
2022.


Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka
Shada la Maua kwenye Mnara wa kumbukumbu katika eneo la Makaburi
alipozikwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt.
Kwame Nkrumah wakati alipotembelea eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah
Memorial Park and Mausoleum) katika Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25
Mei, 2022.
No comments:
Post a Comment