Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea
Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 kutoka kwa Makamu wa Rais wa Sekta
Binafsi, Miundombinu na Viwanda kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB) Solomon Quaynor kwa niaba ya Rais wa Benki hiyo Dkt. Akinumwi
Adesina. Hafla ya Utoaji wa Tuzo hiyo imefanyika kwenye siku ya pili ya
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa AfDB, Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha
Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022)
kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara, mara baada ya
kukabidhiwa Tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu na
Viwanda katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Solomon Quaynor
tarehe 25 Mei 20220 Accra nchini Ghana.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha
Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022)
kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara, mara baada ya
kukabidhiwa Tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu na
Viwanda katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Solomon Quaynor
tarehe 25 Mei 20220 Accra nchini Ghana.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu
na Viwanda katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Solomon Quaynor
pamoja na viongozi mbalimbali wa Benki hiyo mara baada ya kukabidhiwa
Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022)
kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza katika siku ya pili ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) tarehe 25 Mei, 2022 kwenye ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Accra, Ghana mara baada ya kukabidhiwa Tuzo ya Babacar
Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022) kutokana na Mafanikio
yake kwenye Ujenzi wa Barabara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu
na Viwanda katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Solomon Quaynor
pamoja na viongozi mbalimbali wa Benki hiyo mara baada ya kukabidhiwa
Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022)
kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara. (Picha na Ikulu)
Wednesday, May 25, 2022

Home
HABARI
RAIS SAMIA APEWA TUZO YA BABACAR NDIAYE (BABACAR NDIAYE TROPHY 2022), ACCRA NCHINI GHANA

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment