HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 27, 2022

Kampuni ya Oppo yazindua simu mpya ya OPPO RENO 7

 Meneja Mafunzo wa kampuni ya kutengeneza simu ya Oppo Tanzania Farida Mwangosi (kushoto) akionyesha simu ya smartphone mpya ya OPPO RENO 7 baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. OPPO RENO 7 inakuja na matoleo mawili, Toleo la 5G na toleo la 4G hii ni kuhakikisha kila mtanzania anapata kile anachokihitaji katika ulimwengu wa kitekinolojia. Kulia ni Meneja Mkazi Oppo Tanzania Lin Ke.Meneja Mafunzo wa kampuni ya kutengeneza simu ya Oppo Tanzania Farida Mwangosi (kushoto) akionyesha simu ya smartphone mpya ya OPPO RENO 7 baada ya uzinduzi wake uliofanyika leo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. OPPO RENO 7 inakuja na matoleo mawili, Toleo la 5G na toleo la 4G hii ni kuhakikisha kila mtanzania anapata kile anachokihitaji katika ulimwengu wa kitekinolojia. Kulia ni Msimamizi wa Mauzo Oppo Tanzania Venance Chiwalala.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad