Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akihitimisha mgogoro wa ardhi wa muda
mrefu uliozuka kati wananchi Bahi Mjini, Kata ya Mbamatwa na Halmashauri
ya Wilaya ya Bahi ambao pia ulitinga kwa Rais Ikulu ya Dodoma. RC Mtaka
ameumaliza mgogoro huo kwa kuzikutanisha pande hizo tatu katika mkutano
wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mbamatwa Machi 7, 2022 ambapo
kila upande ulipewa wasaa wa kujieleza na baadhi kutoa ushahidi na
vithibitisho.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Munkunda naye akisema maneno ya kuhitimisha mgogoro huo wa muda mrefu.
Katibu
wa CCM Wilaya ya Bahi, Jamila Mujungu akishiriki katika usuluhishi wa
mgogoro huo na kuomba busara itumike kwa pande zote ikiwemo kuwapatia
sehemu ya viwanja wananchi 48 waliomo kwenye mgogoro huo.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bahi,Stewart Masima naye akishiriki katika suluhu ya mgogoro huo.
Diwani wa Kata ya Mbamatwa akielezea historia ya mgogoro huo.
Diwani wa Kata ya Bahi akelezea kuhusu mgogoro huo.
Baadhi ya wakazi wa Bahi Sokoni walioathirika na mgogoro huo.
Mmoja
wa waathirika wa mgogoro huo akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa Mtaka
na kuomba atumie busara kuumaliza mgogoro ili kila upande upate haki.
Boaz ambaye alidaiwa kuandika barua kwa rais kuhusu mgogoro huo, akikana kuandika barua hiyo.
Baadhi
ya wananchi wa Kata ya Mbamatwa akielezea kwa masikitiko jinsi ardhi
yao ilivyotwaliwa bila kushirikishwa na kuomba Serikali iwarejeshee
Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Tuesday, March 8, 2022

RC MTAKA AUMALIZA MGOGORO WA ARDHI BAHI ULIOTINGA KWA RAIS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment