RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini
Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo
10-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi
wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, (kulia kwa Rais) alipofika
Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu leo 10-3-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake
Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
10-3-2022.(Picha na Ikulu)
Thursday, March 10, 2022

Home
HABARI
IKULU
RAIS WA ZANZIBAR MHE,DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR.
RAIS WA ZANZIBAR MHE,DK.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment