Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Mawe ya Msingi katika miradi ya Jeshi la Magereza Makao Makuu mkoani Dodoma.

.jpg)
.jpg)
.jpg)










Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Magereza pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka Mawe ya Msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya Jeshi la Magereza Makao Makuu Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP Meja Jenerali Suleiman Mzee wakati wakivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichopo Msalato mkoani Dodoma leo 25 Machi, 2022.

No comments:
Post a Comment