HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 4, 2022

EPL, La Liga Na Serie A Kuendelea Leo Wikiendi Hii. Dabi Ya Manchester Kunogesha Wikiendi

Ni wikiendi ya kibabe katika kuuanza mwezi wa 3 mwaka huu wa 2022. Ni mwendo wa ‘Big Match’ kunako EPL na Serie A. Mbio za Top 4 vs vita ya kuwania Scudetto, Meridianbet mambo ni moto!!!

Alaves vs Sevilla kufungua duru ya burudani wikiendi hii. Huu ni msimu ambao Sevilla wanaonesha nia thabiti ya kuwania ubingwa wa LaLiga wakichuana vikali na Real Madrid ambao wanashika nafasi ya kwanza. Upande wa pili, Alaves wanataabika kujinasua kwenye nafasi ya kushuka daraja msimu huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.91 kwa Sevilla.

Kwenye EPLLiverpool watakua Anfield kupambana na West Ham United. The Hammers wanainyatia kwa ukaribu nafasi ya 4 kunako msimamo wa EPL. Ni muendelezo wa David Moyes kutaka kuipeleka timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa baada ya msimu uliopita kufanikiwa kupata tiketi ya kucheza Europa. Ni Jurgen Klopp au Moyes atakayekutoa kimasomaso? Ifuate Odds ya 1.28 kwa Liverpool kupitia Meridianbet.

Jumamosi hii, tutaanza vita ya Serie A kwa mchezo wa AS Roma vs Atalanta. Msimu huu umekua wa na matokeo ya kupanda na kushuka kwa timu zote mbili. Wakati huu ambao zipo nje ya nafasi 4 za juu, huu ni mchezo ambao yeyote anaweza kumpiku mwingine. Dau lako liweke kwenye Odds ya 2.55 kwa Roma.

Jiji la Manchester litazizima kwa muda pale ambapo, Manchester United wataenda mjini kuchuana na Manchester City ndani ya Etihad. Huu ni uwanja ambao, United wamekua wakiondoka na ushindi kwa siku za hivi karibuni. Ole aliambulia kipigo kabla hajaondoka Old Trafford, ni wakati wa Ralf Rangnick kulipiza kisasi au Pep ataongeza maumivu kwa United hii inayosuasua msimu huu? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.38 kwa City.

Vita ya kuwania Scudetto itaendelea kule Italia. Napoli kuwaalika AC Milan ndani ya dimba la Diego Armando Maradona. Napoli wanaongoza msimamo wa ligi wakiwa na pointi 57 sawa na Milan. Tofauti yao ni magoli 6 tu, mbivu na mbichi kujulikana ndani ya dakika 90. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.16 kwa Napoli.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad