WASTAAFU NA WATEGEMEZI WA NSSF WAWEKEWA UTARATIBU MZURI WA UHAKIKI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 3, 2022

WASTAAFU NA WATEGEMEZI WA NSSF WAWEKEWA UTARATIBU MZURI WA UHAKIKI

 Meneja Usimamizi wa Mafao wa NSSF, James Oigo, akizungumza na waandishi wa  habari (hawapo pichani) kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi . Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF,  Lulu Mengele na  Kushoto ni Meneja Malipo  ya  Pensheni wa NSSF, Nancy Mwangamila

Meneja Malipo  ya Pensheni wa NSSF,  Nancy Mwangamila, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi lililoanza tarehe 1 Februari, 2022 hadi Aprili 29, 2022.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad