HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 26, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea katika Mji wa Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022. PICHA IKULU

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad