HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 27, 2022

WIZARA YA AFYA IMEPOKEA MSAADA WA GARI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Dkt. Fatma Mrisho (Katikati), akipokea kwa furaha namba ya Gari ikiwa ni ishara ya kupokea msaada wa gari iliyotolewa na Shirika la Usaid Global Health Supply Chain Tanzania (GHSC-TZ), kwa ajili ya usambazaji wa Vifaa tiba Katika Hospitali mbali mbali, kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Mavere Tukai, hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
(PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO )


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad