NAIBU WAZIRI MWAKIBETE ATOA KONGOLE KWA TCAA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 27, 2022

NAIBU WAZIRI MWAKIBETE ATOA KONGOLE KWA TCAA


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Atupele Mwakibete akipata maelezo kutoka kwa Muongoza ndege Mwandamizi, Shukuru Nziku (Mwenye shati la kitenge kulia) alipotembelea Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania
Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari akitoa maelezo juu ya uendeshaji wa mamlaka hiyo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete mara baada kutembelea Makao Makuu ili kujifunza ufanyaji kazi wake
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakifuatilia mkutano huo
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania CATC), Aristid Kanje (kulia) akitomaelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete alipotembelea Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania ili kujifunza
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania, Aristid Kanje (kulia) akitomaelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete na menejimenti ya TCAA mara baada ya kutembelea eneo ambalo linatarajiwa kujengwa Chuo cha kisasa cha  Usafiri wa Anga Tanzania
Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari (kushoto) akimpatia zawadi Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete baada ya kutembelea mamlaka hiyo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad