Simbachawene awaomba Wananchi wa Jimboni kwake kushirikiana na mamlaka zilizopo kudhibiti uhalifu - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 1, 2021

Simbachawene awaomba Wananchi wa Jimboni kwake kushirikiana na mamlaka zilizopo kudhibiti uhalifu


Waziri Simbachawene akikagua Majengo ya Shule ya Msingi Chaludewa iliyopo Kijiji cha Chaludewa, Kata ya Mlunduzi , jimboni kwake ikiwa ni moja ya Ziara yake ya Kikazi jimboni na kuahidi kutoa mifuko mia moja (100) ya cement ili kujenga upya madarasa yaliyo haribiwa na upepo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri Simbachawene akizungumza na Wananchi wake wa Kijiji cha Chaludewa, Kijiji cha Mlunduzi na Kijiji cha Chinyang’huku vilivvyopo Jimboni kwake alipowatembelea kwenye Ziara ya Kikazi tarehe 30/11/2021. Amewaomba kushirikiana na serikali ya Mtaa na ya Kijiji kuhakikisha kwamba wanaangalia usalama ili kudhibiti uhalifu pamoja na kutunza mazingira yanayowazunguka. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Baadhi ya wananchi wa jimbo la Kibakwe wakiwa kwenye mkutano na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene alipowatembelewa kwenye Ziara ya Kikazi jimboni kwake Kibakwe, tarehe 29/11/2021. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad