MAJALIWA AFUNGUA MASHINDANO YA 11 YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 6, 2021

MAJALIWA AFUNGUA MASHINDANO YA 11 YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya 11 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Desemba 6, 2021.

Baadhi ya washiriki wa mashindano ya 11 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mashindano hayo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Novemba 6, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Washirki wa Mashidano ya 11 ya Mabuge ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakishangilia wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye ukumbi wa Hotelli ya Mount Meru jijini Arusha kufungua Mashindano hayo, Desemba 6, 2021. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad