HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 4, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WADHAMINI WA TAMASHA LA SEA FOOD FESTIVAL LINALOFANYIKA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Afisa Mkuu wa Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB.Bw.Benedicto Baragomwa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wadhamini wa Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki hii, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kupokea taarifa ya kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la Sea Food Festival linalotarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja mwishoni mwa wiki hii.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad