Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa
Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), wakati balozi huyo
alipofika kwa mazungumzo leo, Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi
wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia),akizungumza na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene wakati balozi huyo
alipofika kwa mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell
(kulia),baada ya kumaliza mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini
Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (wanne kulia),baada ya kumaliza mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Wengine ni wasaidizi wa Balozi na Maofisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment