Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mkoani Arusha leo Sept 06,2021
alipokua njiani akielekea Ngorongoro kwa ajili kurekodi kipindi maarufu
cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment