Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme
akikagua moja ya darasa katika Shule ya Sekodari Mpotola ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya
Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu
ya CCM
yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025.
. (Picha na CCM Makao Makuu)
Naibu
Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wataalamu
mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya
Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM
pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo
la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya
mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)
Friday, September 17, 2021

NAIBU KATIBU MKUU AFANYA ZIARA NEWALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment