Msajili Vyama vya Siasa Aipongeza SAU kwa Ufanisi wa Uendeshaji Shughuli za Chama - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 10, 2021

Msajili Vyama vya Siasa Aipongeza SAU kwa Ufanisi wa Uendeshaji Shughuli za Chama

 

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza akiangalia Rejesta ya Viongozi wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), wakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa SAU, Bw. Majaliwa Kyara.

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa  Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na wawakilishi nkutoka Ofisi ya Msajili wa Vywakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dar es Salaam. (Picha na: ORPP)
Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Bw. Majaliwa Kyara akiteta jambo na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza (katikati) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Hesabu, Bw. Peter Lyimo akisisitiza jambo wakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) jana jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Hesabu, Bw. Peter Lyimo akisisitiza jambo wakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) uliofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) jana jijini Dar es Salaam.
Afisa Mkaguzi wa Ndani wa Hesabu toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bw. Mussa Boma akionyesha jambo katika kitabu cha rejesta ya malipo wakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dar es Salaam.
Kutoka kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza, Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Hesabu, Bw. Peter Lyimo, Afisa Mkaguzi wa Ndani, Bw. Musa Boma na Afisa Sheria Bi. Grace Mushi wakikagua nyaraka za malipo  za Chama cha Sauti ya Umma (SAU) wakati wa zoezi la uhakiki wa namna vyama vya siasa vinavyotekeleza Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad