MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 15, 2021

MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

 

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akisistiza jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Tanzania wa  Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza  kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja  na Mkurugenzi wa Tanzania wa  Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo  leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza  kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiteta jambo mara baada ya kumaliza kufanya mazungumzo na  na Mkurugenzi wa Tanzania wa  Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza  kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad