UDOM YAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA SABASABA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 5, 2021

UDOM YAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA SABASABA


Mkurugenzi wa Utafiti, Machapisho na Huduma kwa Umma, Dkt. Ambrose Kessy(kushoto) akizungumza jambo na Mhadhiri Mwandamizi kutoka Chuo kikuu Dodoma Dkt. Rehema Kilonzo(kulia) kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi Idara ya Kemia  kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Miraji Hossein akitolea ufafanuzi kuhusu mtambo wa kusafishia maji uliotengenezwa na chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhili  Msaidizi Idara ya Elimu ya Saikolojia na Mafunzo ya Mitaala UDOM, Frederick Msangi akielezea namna walivyojipanga hasa kwenye kozi zenye tija kwenye Jamii na zinazoendana na kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Idara ya Kemia Chuo kikuu cha Dodoma(kushoto) , Dkt Sahini Mtabazi akizungumza jambo na Mhadhiri Mwandamizi Taasisi ya Taaluma za Maendeleo na Mkurugenzi wa Shahada  za awali, Dkt Victor George Marealle katika banda la chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Tiba kwa Jamii Shule ya Tiba ya Afya ya kinywa kutoka UDOM, Deogratius Bintabara akiendelea kutoa huduma  kwa baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri Msaidizi Idara ya Kemia  kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Miraji Hossein(kushoto) akizungumza jambo na Mhadhiri Idara ya Kemia Chuo kikuu cha Dodoma(kulia) , Dkt Sahini Mtabazi  pamoja na Mhadhili  Msaidizi Idara ya Elimu ya Saikolojia na Mafunzo ya Mitaala UDOM, Frederick Msangi(katikati) katika banda la chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad